Tanzania · 1977
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (Toleo la 2000)
Toleo rasmi la mwaka 2000 la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, lenye mabadiliko yote hadi tarehe 30 Aprili 2000. The official consolidated edition of 2000, with all amendments up to 30 April 2000; amendments made after that date are not included.
Utangulizi
Utangulizi — Misingi ya Katiba
Sura ya 1
Jamhuri ya Muungano, Vyama vya Siasa, Watu na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea
Sehemu ya 3
Haki na Wajibu Muhimu
- 12.Usawa wa Binadamu
- 13.Usawa mbele ya sheria
- 14.Haki ya kuwa hai
- 15.Haki ya uhuru wa mtu binafsi
- 16.Haki ya faragha na ya usalama wa mtu
- 17.Uhuru wa mtu kwenda atakako
- 18.Uhuru wa maoni
- 19.Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo
- 20.Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine
- 21.Uhuru wa kushiriki shughuli za umma
- 22.Haki ya kufanya kazi
- 23.Haki ya kupata ujira wa haki
- 24.Haki ya kumiliki mali
- 25.Wajibu wa kushiriki kazini
- 26.Wajibu wa kutii sheria za nchi
- 27.Kulinda mali ya Umma
- 28.Ulinzi wa taifa
- 29.Haki na wajibu muhimu
- 30.Mipaka kwa haki, uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
- 31.Ukiukaji wa Haki na uhuru
- 32.Madaraka ya kutangaza hali ya hatari
Sura ya 2
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Sehemu ya 1
Rais
- 33.Rais wa Jamhuri ya Muungano
- 34.Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake
- 35.Utekelezaji wa shughuli za Serikali
- 36.Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka
- 37.Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais n.k
- 38.Uchaguzi wa Rais
- 39.Sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais
- 40.Haki ya kuchaguliwa tena
- 41.Utaratibu wa uchaguzi wa Rais
- 42.Wakati na muda wa kushika madaraka ya Rais
- 43.Masharti ya kazi ya Rais
- 44.Madaraka ya kutangaza vita
- 45.Uwezo wa kutoa msamaha
- 46.Kinga dhidi ya mashtaka na madai
- 46A.Bunge laweza kumshtaki Rais
- 46B.Wajibu wa viongozi Wakuu wa vyombo vya Mamlaka ya Utendaji kudumisha Muungano
Sehemu ya 3
Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri na Serikali
- 51.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
- 52.Kazi na Mamlaka ya Waziri Mkuu
- 53.Uwajibikaji wa serikali
- 53A.Kura ya kutokuwa na imani
- 54.Baraza la Mawaziri
- 55.Uteuzi wa Mawaziri
- 56.Kiapo cha Mawaziri na Naibu Mawaziri
- 57.Wakati na muda wa Mawaziri kushika madaraka
- 58.Masharti ya kazi ya Mawaziri
- 59.Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
- 60.Katibu wa Baraza la Mawaziri
- 61.Wakuu wa Mikoa
Sura ya 3
Bunge la Jamhuri ya Muungano
Sehemu ya 2
Wabunge, Wilaya ya Uchaguzi na Uchaguzi wa Wabunge
- 66.Wabunge
- 67.Sifa za mtu kuwa Mbunge
- 68.Kiapo cha Wabunge
- 69.Tamko rasmi la Wabunge kuhusu maadili ya Viongozi
- 70.Wabunge kutoa taarifa ya mali
- 71.Muda wa Wabunge kushika madaraka kama Wabunge
- 72.Watu wenye madaraka Serikalini kukoma utumishi wanapochaguliwa
- 73.Masharti ya kazi ya Wabunge
- 74.Tume ya Uchaguzi
- 75.Majimbo ya Uchaguzi
- 76.Uchaguzi katika Majimbo ya Uchaguzi
- 77.Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge wa Majimbo ya Uchaguzi
- 78.Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge Wanawake wa kuchaguliwa na Bunge
- 79.Utaratibu wa uchaguzi wa Wabunge wa kuchaguliwa na Baraza la Wawakilishi
- 80.Imefutwa na sheria Na.4 ya 1992 Ibara 27
- 81.Utaratibu wa kupendekeza majina ya wagombea uchaguzi wa Wabunge Wanawake
- 82.Imefutwa na Sheria Na.4 ya 1992 ibara 29
- 83.Uamuzi wa suala kama mtu ni Mbunge au sivyo
Sehemu ya 3
Utaratibu, Madaraka na Haki za Bunge
- 84.Spika na Mamlaka yake
- 85.Naibu wa Spika
- 86.Utaratibu wa kumchagu Spika na Naibu wa Spika
- 87.Katibu wa Bunge
- 88.Sekretariati ya Bunge
- 89.Kanuni za Kudumu za Bunge
- 90.Kuitishwa kwa mikutano ya Bunge na kuvunjwa kwa Bunge
- 91.Rais aweza kulihutubia Bunge
- 92.Mikutano ya Bunge
- 93.Uongozi wa vikao vya Bunge
- 94.Kiwango cha vikao vya Bunge
- 95.Viti vilivyo wazi katika Bunge
- 96.Kamati za Kudumu za Bunge
- 97.Namna ya kutumia madaraka ya kutunga sheria
- 98.Utaratibu wa kubadilisha Katiba hii na baadhi ya sheria
- 99.Utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha
- 100.Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
- 101.Kuhifadhi na kutilia nguvu uhuru wa majadiliano na wa shughuli
Sura ya 4
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar
Sura ya 5
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
Sehemu ya 5
Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano
- 116.Tafsiri
- 117.Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Madaraka yake
- 118.Majaji wa Mahakama ya Rufani na uteuzi wao
- 119.Mamlaka ya Majaji wa Mahakama ya Rufani
- 120.Muda wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kushika madaraka
- 121.Kiapo cha Majaji wa Mahakama ya Rufani
- 122.Kiwango cha vikao vya Mahakama ya Rufani
- 123.Mashauri yanayoweza kuamuliwa na Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani
Sura ya 6
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Sekretariet ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Sura ya 7
Masharti Kuhusu Fedha za Jamhuri ya Muungano
Sehemu ya 2
Mfuko Mkuu wa Hazina na Fedha za Jamhuri ya Muungano
- 135.Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano
- 136.Masharti ya kutoa fedha za matumizi kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
- 137.Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
- 138.Masharti ya kutoza kodi
- 139.Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha kabla ya sheria ya matumizi kuanza kutumika
- 140.Mfuko wa Matumizi ya dharura
- 141.Deni la Taifa
- 142.Mishahara ya watumishi fulani wa Serikali kudhaminiwa na Mfuko Mkuu Wa Hazina ya Serikali
- 143.Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano
- 144.Kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
Sura ya 8
Madaraka ya Umma
Sura ya 9
Majeshi ya Ulinzi
Sura ya 10
Mengineyo
Nyongeza ya Kwanza
Mambo ya Muungano
Nyongeza