Wakili Msomi

Ibara 152

Jina kamili la Katiba, tarehe ya kuanza kutumika na matumizi ya Katiba hii

Mengineyo

(1)Jina kamili la Katiba ya Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, ya mwaka 1977.

(2)Katiba hii itaanza kutumika tarehe 26 Aprili, 1977.

(3)Katiba hii itatumika Tanzania Bara na vile vile Tanzania Visiwani.

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.