The Constitution, Article by Article
Read the supreme law of Tanzania in plain layout, search it in seconds, and ask questions in English or Kiswahili. Every answer cites the articles it relies on.
Tanzania · 1977
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (Toleo la 2000)
10 chapters · 158 articles
Utangulizi
Utangulizi — Misingi ya Katiba
Read
Sura ya 1
Jamhuri ya Muungano, Vyama vya Siasa, Watu na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea
32 articles
Sura ya 2
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
32 articles
Sura ya 3
Bunge la Jamhuri ya Muungano
40 articles
Sura ya 4
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar
6 articles
Sura ya 5
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
24 articles
Sura ya 6
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Sekretariet ya Maadili ya Viongozi wa Umma
4 articles
Sura ya 7
Masharti Kuhusu Fedha za Jamhuri ya Muungano
12 articles
Sura ya 8
Madaraka ya Umma
2 articles
Sura ya 9
Majeshi ya Ulinzi
2 articles
Sura ya 10
Mengineyo
4 articles
Nyongeza
Mambo ya Muungano
Read
Nyongeza
Nyongeza ya Pili
Read