Ibara 121
Kiapo cha Majaji wa Mahakama ya Rufani
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano
Jaji wa Mahakama ya Rufani hatashika madaraka yake ila mpaka awe ameapishwa kiapo cha uaminifu na kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.
Marejeo ya marekebisho: Sheria za 1979 Na.14 ib.8 na Sheria ya 1984 Na.15 ib.31
Ibara 120Muda wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kushika madarakaIbara 122 Kiwango cha vikao vya Mahakama ya Rufani
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.