Wakili Msomi

Ibara 111

Kiapo cha Majaji

Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano

Jaji wa Mahakama Kuu hatashika madaraka yake ila mpaka awe ameapishwa kwanza kiapo cha uaminifu na pia kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungw na Bunge.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1979 Na.14 ib.6 Sheria 1985 Na.15 ib.22

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.