Ibara 113A
Uanachama katika Vyama vya Siasa
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Madaraka ya Kuajiri Mahakimu na Watumishi Wengine wa Mahakama za Tanzania Bara na Tume ya Kuajiri ya Mahakama
Itakuwa ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Hakimu wa ngazi yoyote kujiunga na chama chochote cha Siasa, isipokuwa tu kwamba atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1994 Na.34 ib.19
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.