Wakili Msomi

Ibara 114

Mahakama Kuu ya Zanzibar

Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Mahakama Kuu ya Zanzibar

Kwa madhaumuni ya ufafanuzi wa Sura hii ya Katiba hii, ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika sura hii hayazuii kuendelea kuwapo au kuanzishwa, kwa mujibu wa Sheria zinazotumika Zanzibar kwa Mahakama Kuu ya Zanzibar au Mahakama zilizo chini ya Mahakama Kuu ya Zanzibar.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1985 Na.15 ib.22

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.