Ibara 125
Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
Kutakuwa na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo Mamlaka yake, muundo wake na utaratibu wa shughuli zake ni kama ilivyoelezwa katika ibara ya 126, 127 na 128 ya Katiba hii.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib.35
Ibara 124Utekelezaji wa maagizo ya Mahakama utafanywa nchini Tanzania koteIbara 126 Mamlaka ya Mahakama Maalum ya Katiba
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.