Wakili Msomi

Ibara 79

Utaratibu wa uchaguzi wa Wabunge wa kuchaguliwa na Baraza la Wawakilishi

Bunge la Jamhuri ya Muungano · Wabunge, Wilaya ya Uchaguzi na Uchaguzi wa Wabunge

Baraza la Wawakilishi litaweka utaratibu litakaoufuata kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa Wabunge waliotajwa katika ibara 66(1) ( c) ya Katiba hii.

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.