Wakili Msomi

Ibara 91

Rais aweza kulihutubia Bunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano · Utaratibu, Madaraka na Haki za Bunge

(1)Rais atalihurubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi Bunge hilo.

(2)Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (1); Rais aweza wakati wowote kulihutubia Bunge au kupeleka kwenye Bunge taarifa ambayo itasomwa na Waziri.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib.14

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.