Wakili Msomi

Ibara 1

Kutangaza Jamhuri ya Muungano

Jamhuri ya Muungano, Vyama vya Siasa, Watu na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea · Jamhuri ya Muungano na Watu

Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.