Ibara 33
Rais wa Jamhuri ya Muungano
Serikali ya Jamhuri ya Muungano · Rais
(1)Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
(2)Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib.9
Ibara 32Madaraka ya kutangaza hali ya hatariIbara 34 Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.