Wakili Msomi

Ibara 48

Wakati wa Makamu wa Rais kushika madaraka

Serikali ya Jamhuri ya Muungano · Makamu wa Rais

(1)Makamu wa Rais atashika madaraka ya Makamu wa Rais siku hiyo hiyo Rais anaposhika madaraka.

(2)Makamu wa Rais aliyeteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 50(3) ataapa na kushika madaraka yake baada ya uteuzi wake kuthibitishwa na Bunge.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1994 Na.34 ibara 11

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.