Ibara 68
Kiapo cha Wabunge
Bunge la Jamhuri ya Muungano · Wabunge, Wilaya ya Uchaguzi na Uchaguzi wa Wabunge
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib.13
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.