Ibara 58
Masharti ya kazi ya Mawaziri
Serikali ya Jamhuri ya Muungano · Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri na Serikali
Mawaziri na Naibu Mawaziri watashika madaraka yao kwa ridhaa ya Rais, na watalipwa mshahara, posho na malipo mengineyo kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ibara 9
Ibara 57Wakati na muda wa Mawaziri kushika madarakaIbara 59 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.