Ibara 107B
Uhuru wa Mahakama
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano · Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano
Katika kutekeleza mamlaka ya utoaji haki, mahakama zote zitakuwa huru na zitalazimika kuzingatia tu masharti ya Katiba na yale ya sheria za nchi.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 2000 Na.3 ib.17
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.