Wakili Msomi

Ibara 96

Kamati za Kudumu za Bunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano · Utaratibu, Madaraka na Haki za Bunge

(1)Bunge laweza kuunda Kamati za Bunge za namna mbalimbali kadri litakavyoona infaa kwa ajili ya utekelezaji bora wa madaraka yake.

(2)Kanuni za Bunge zaweza kufafanua muundo na shughuli za Kamati za Bunge zitakazoundwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.

Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1995 Na.12 Ibara 16

Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.