Ibara 12
Usawa wa Binadamu
Jamhuri ya Muungano, Vyama vya Siasa, Watu na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea · Haki na Wajibu Muhimu
(1)Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa.
(2)Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Marejeo ya marekebisho: Sheria ya 1984 Na.15 ib.6
Source: official text. If anything here differs from the official publication, the official publication prevails.